Wimbo wa Kifuasi cha Dhati
Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili.
Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli.
Hekima Yake, Uadilifu Wake, nayapenda yote.
Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana.
Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili.
Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli.
Hekima Yake, uadilifu Wake, nayapenda yote.
Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana.
Moyo wake, Upendo wake, vimefanya nishindwe.
Mpe upendo, mfuate Yeye, ah mpendwa wangu.
Nampenda, najihisi mtamu, teseka kwa ajili Yake.
Mpate, ishi kwa ajili Yake, mpende milele.
Moyo wangu, Alioupewa, nahisi furaha.
Nafsi yangu nzima kuishi kwa ajili Yake, haya ni maisha yangu.
Kumpenda, kumtumikia, heshima kubwa kwangu.
Moyo wangu hautaki kingine chochote, nimetosheka.
Yajali mapenzi Yake, fikra zake, na mahangaiko Yake.
Ni mapenzi yangu kumpendeza na kumtosheleza Mungu.
Mimi huhudumu katika nyumba ya Mungu, nikitimiza wajibu.
Humtii, kuwa mwaminifu kwake, na kujitolea.
Moyo wake, Upendo wake, vimefanya nishindwe.
Mpe upendo, mfuate Yeye, ah mpendwa wangu.
Nampenda, najihisi mtamu, nateseka kwa ajili Yake.
Mpate, ishi kwa ajili Yake, mpende milele.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.
Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org
Wasiliana Nasi: +254-700-427-192